Wakala wa Mauzo

Freelancer, Full-time · Tanzania

About us
ENGIE Mobisol GmbH is part of Engie SA, a worldwide energy provider with focus on renewable energy. We are a leading global player in decentralized solar electrification and driven by market demand for off-grid solutions beyond lighting, Mobisol designs, distributes and services solar systems, seamlessly integrated with proprietary pay-as-you-go (PAYG) software. By combining the latest high-tech solar hardware with mobile payment technologies, the Berlin-based company ensures affordability through flexible payment plans. ENGIE Mobisol enables rural families and businesses to power a wide range of compatible appliances, such as televisions and stereos, thereby improving people's standard of living and enabling incremental income from new solar-powered businesses. With over 600 employees, ENGIE Mobisol runs its own operations in Tanzania, Kenya, and Rwanda, while providing hardware and software solutions through a growing network of B2B partnerships in another nine countries worldwide.
What this job is about
Wakala wa Mauzo anatakiwa kutafuta wateja wenye uwezo na uhitaji wa kununua mitambo ya sola. Anatakiwa kuhakikisha kuwa wateja hao kama watanunua kwa mkopo basi wanauwezo wa kuulipia mkopo ule mpaka ukamilike.
Your tasks
 1. Kutafuta masoko ya kufanyia mauzo 
 2. Kutafuta na kusajili wateja wenye uwezo na uhitaji wa kununua mtambo.
 3. Kumfanyia usahili wa mkopo mteja aliyopo tayari kununua mtambo.
Your Qualifications
 1. Uwe na elimu ya Diploma au zaidi 
 2. Uwe na Umri usiopungua miaka 25
 3. Uwe tayari kuhamia sehemu nyingine
 4. Uwe mwenye kujituma 
Your Perspective
Kuwa Wakala wa Mauzo kutakusaidia kuweza kutimiza malengo yako na kuweza kuleta maendeleo katika maeneo mbalimbali. Tunapatikana katika maeneo:
 • Arusha 
 • Manyara
 • Tanga 
 • Kilimanjaro
 • Singida
 • Dodoma
 • Morogoro
 • Pwani
 • Dar es Salaam 
 • Geita
 • Shinyanga 
 • Kagera
 • Simiyu
 • Mara
 • Tabora
 • Mwanza
 • Ruvuma
 • Rukwa
 • Mbeya 
 • Iringa
 • Njombe
Hakikisha unaandika kwenye barua ya maombi ni mkoa gani ungependa kufanyia kazi.
How to apply
Bonyeza "Apply now" hapo chini, chenye rangi ya blue kutuma maombi yako.

Thank you for considering a career at ENGIE Mobisol GmbH

Please fill out the following form. If you are experiencing problems with the document upload, please get in touch with our Talent Management Team via jobs@plugintheworld.com.

Please upload your CV, cover letter and latest certificates as PDF documents. Any additional documents like references are welcome but not required at this stage.
In order to upload multiple files, please select them in one go by using the CTRL key on Windows or the CMD key on Mac.